Monday, October 7, 2013

Vazi la mtanzania.

Baadhi ya watanzania wamekuwa wanazisahau tamaduni zao na kuiga tamaduni za kigeni,hali hii imekuwa ikisababisha matatizo kwa kizazi cha sasa kwani wengi wamekuwa wakizisahau tamaduni zao na kujikita kwenye tamaduni za kigeni.Nchi nyingi za afrika wanavazi la taifa lao hata Tanzania pia inalo lakini hawalidumishi vile ipasavyo,kwani wamekuwa wakivaa mavazi ya kigeni hata kwenye maadhimisho ya sherehe za kitamaduni.Hali hii imekuwa ikiwaumiza baadhi ya watu wanao hitaji kulijua vazi la taifa lakini wamekuwa wakishindwa kutambua ni lipi kwani utandawazi unaadhiri tamaduni zetu watanzania.



vazi la khanga limevaliwa toka miaka ya zamani sana.lakini zamani vazi hili lilikuwa halina mauwa na rangi,lilikuwa jeupe kama sanda.






Nchi ya Tanzania ina makabira mengi lakini kwa asilimia kubwa kabila la wamasai wamekuwa wakidumisha mila zao kuanzia miaka ya zamani mpaka sasa.





Wednesday, October 2, 2013

kope na nyusi



sura nzuri iliyo chongwa nyusi na kubandikwa kope za bandia.






pia kuna aina za ajabu za kope ambazo watu hawaishiwi na vituko huzitumia.






nyusi nyingine bwana sijui watu huwaza nini mpaka wanabandika.






ukimwuona lazima ukubali kwasababu sura yake inapendeza,wote huo ni uremo kwani kuanzia nyusi kope na rangi alizopaka zimeongeza uzuri na muonekano wa sura yake.






Na hawa hawapo nyuma jamani nani aliye sema umri ukienda hautoki vizuri,? 






look so good.






muonekano wa karibu wa jicho lenye nyusi za bandia.







kope na nyusi huupa muonekano mzuri wa uso.








pia kuziongezea nakshinakshi huzifanya zingae sana.






muonekano mzuri wa kope ukiwa umekamilika na mtu yupo tayali kutoka.






wataaramu wakifanya kazi zao za kutinda nyusi.



Friday, August 30, 2013

urembo wa kimasai



urembo wa asiri huvutia ukimpata anae endana nao.bali kuna baadhi ya watu huwakubali kutokana na maumbo yao na muonekano wao.



jamii ya kiume ya kimasai huwa na aina yao ya uvaaji wa mavazi yao mashuka(mgololi) na pia hushikilia fimbo mkononi.






kuna mapambo mengi kwenye kabila la wamasaikwa kina dada hutoboa masikio na kuvaa mapambo ambapo imekuwa tofauti na kina baba wa kimasai ambao hutoboa na kuacha bila mapambo.



 

Thursday, August 29, 2013

matokeo mabaya ya matumizi ya kucha bandia.





matokeo mabaya ya kucha bandia,kuharibu kucha za vidole.






matokeo mabaya ya kucha bandi hupelekea matatizo makubwa kwani wataalamu wanasema fangasi ni mbaya.unaweza dhania utaharibu kucha tu lakini inapelekea kuozesha mguu au mkono.







mwanzo wa matatizo ya vidole baada ya kubandua kucha .



Wednesday, August 28, 2013

urembo wa kucha





kucha bandia zenye rangi tofauti na zenye kuvutia.



 

kwenye ubandikaji wa kucha kuna hatua ambazo inabidi zifuatwe ili kuepusha baadhi ya matatizo ya kucha.kwani wengi wamekuwa wakipuuzia hatua hizo na kupelekea kuharibu kucha zao.






moja kati ya kucha zilizo bandikwa kwa kufuata taratibu za ubandikaji,zikiwa zimependeza.






sikuzote rangi za kucha hupendeza sana ukichanganya na kuweka kama uwa zuri au mchora mzuri.






zinapendeza sana.





Monday, August 26, 2013

BAADHI YA MATOKEO MABAYA YA MATUMIZI YA VIPODOZI

baadhi ya watu vipodozi huwakataa na kuwaharibu ngozi za nyuso zao.

Haijalishi uso wako umeharibika kiasi gani hata ufanane na limao lakini photoshop ndiyo suluhisho la matatizo yote.  Leo ukimuona mtu kapiga picha nzuri sana anapendeza na uso wa kung’aa sana. Lakini kumbe kuna marekebisho makubwa sana yamefanyika katika kuleta matokeo hayo mazuri tena yenye mvuto.



malengelenge ni moja kati ya matukio ya vipodozi kukataa ngozi ya mtu.




Kunanjia nyingi za kulinda ngozi za nyuso zetu.kuna njia ya vipodozi na njia ya asiri.
Njia ya kutumia vipodozi malanyingi imekuwa mbaya kwani baadhi ya vipodozi huwa na sumu ambazo huaribu sula zete.
Kwa upande wa matunda kumekuwa hakuna matatizo kwani matunda yanavirutubisho ambavyo hutunza mwili kwa ujumla.
Ila kunabaadhi ya vipodozi ambavyo vinakubali ngozi za watu kwani hata kwenye vipodozi kuna aina tofauti ambazo zimetengenezwa kwa watu wenye ngozi zinazo endana

Thursday, August 22, 2013

TUUJUE UREMBO WA NGOZI ZA NYUSO ZETU NA MADHARA YAKE.



urembo wa ngozi ya uso ni muhimu sana kwa watu wote .

 


sio kinadada tu hata makaka wanahusika kutunza ngozi za sura zao.