urembo wa asiri huvutia ukimpata anae endana nao.bali kuna baadhi ya watu huwakubali kutokana na maumbo yao na muonekano wao. |
jamii ya kiume ya kimasai huwa na aina yao ya uvaaji wa mavazi yao mashuka(mgololi) na pia hushikilia fimbo mkononi. |
kuna mapambo mengi kwenye kabila la wamasaikwa kina dada hutoboa masikio na kuvaa mapambo ambapo imekuwa tofauti na kina baba wa kimasai ambao hutoboa na kuacha bila mapambo. |














